Nguvu Moja (SS) Ujuzi wa kutumia kompyuta (CCTV) Jobs in Tanzania

Nguvu Moja (SS) Ujuzi wa kutumia kompyuta (CCTV) Jobs in Tanzania


Tangazo la Kazi

  • Nguvu Moja (SS) I (Kuwa Nasi - Yataka moyo) UJUMBE Kundi la ulinzi la Nguvu Moja Security Service linahitaji vijana wa kike na kiume waliofanya mafunzo ya JK1 (Operesheni Magufull 2016 - 2019 na Operesheni Mererani 2018 - 2020). Wastaafu wa Majeshi kutoka vyombo vya Ulinzi na Usalama watafikiriwa kuzingatia Umri na taaluma zao. Makomando Wastaafu kutok! Nguvu ya mapambano maalumu watapata upendeleo maalum. Wananchi wenye ujuzi adimu wa fani/taalu ma zilizo ainishwa chini watapata nafasi (ona aya - chini). .

  • (3) Ujuzi wa kutumia kompyuta (CCTV) na ufundi wa matengenezo mitambo ya kompyuta (ISMS) ullopatikana toka Chuo cha Ufundi (DIT DSM), VETA, Chuo Kikuu - DSM na Chuo Kikuu cha Habari na Mawasiliano (DSM).

    Vigezo

  • Mwombaji awe Mtanzania mwenye Afya Njema, Mwaminifu. Tabia njema, Hodari kazini. Elimu kuanzia sekondari hadi Chuo Kikuu.

    Malipo

  • Kwa makubaliano yanayozingatia viwango vilivyowekwa na serikali.

    Kituo cha Uusaili

  • Wenye sifa zilizotajwa wafike mtaa wa Yasser Arafat Oysterbay nyumba namba 06 kwa udahili (Interview) au wawasillane kwa namba za simu zifuatazo: 0735862315 au 0621760716. Barua pepe ni mojanguvuagmail.com)

    How to Apply

  • MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI: Tarehe ya mwisho kupokea maombi ni tarehe 07 January 2020.
    TAHADHARI UTAPELI - Nguvu Moja haluzi ajira kwa fedha - Rushwa haikubaliki kabisa uonapo kitendo chochote cha rushwa toa taarifa moja kwa moja TAKUKURU simu Nambari: (026) 2322003/2322695 au kwa simu zetu namba 0735862315/0621760716.

  • Click here to post comments

    Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to NGO Jobs in Africa.