Management Of Mount Chanza Secondary School Computer & Mathematics Teachers Jobs in Tanzania

Management Of Mount Chanza Secondary School Computer & Mathematics Teachers Jobs in Tanzania


  • Uongozi wa shule ya sekondari Mount Chanza iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoa wa Kigoma unatangaza nafasi za ajira kwa walimu wa masomo mbali mbali. .

    Sifa za Mwombaji

    • Awe na shahada au stashahada ya ualimu

    • Awe amesomea katika chuo kinachotambulika na serikali.

    • Awe amesomea tahasusi zilizooneshwa hapo juu kama somo la kufundishia katika masomo yake ya chuo.

    • Awe na uzoefu walau wa kufundisha na kufaulisha vizuri wanafunzi.

    • Awe na maadili ya kiualimu na kufuata kanuni zote za utumishi wa umma.

    How to Apply

    Masharti ya mwombaji

    • Mwombaji awe raia wa Tanzania

    • Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea

    • Mwombaji atajigharamikia huduma za nauli, chakula na malazi siku ya usaili.

    • Mwombaji aje na nakala au vyeti halisi vya taaluma yake siku ya usaili.

    • Usaili utaanza saa 2:00 asubuhi ya tarehe 08/01/2021 siku ya Ijumaa katika shule ya Sekondari Mount Chanza.

  • Maombi yatumwe kwa:

    MENEJA WA SHULE,
    SHULE YA SEKONDARI MOUNT CHANZA,
    S.L.P 62.
    KIBONDO.

  • Mwisho wa kutuma maombi ni Jumatano tarehe 06/01/2021 na mtu anaweza kuja na
    maombi yake siku hio hio ya usaili.

  • Kwa maelezo zaidi wasiliana na

  • Meneja wa shule: 0753-649 063

  • Meneja msaidizi: - 0755- 065 687

  • Mkuu wa shule: 0756- 358 004

  • Makamo mkuu wa shule : 0743- 969 456

  • Click here to post comments

    Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to NGO Jobs in Africa.