Global Group Internship Opportunities Jobs in Tanzania

Global Group Internship Opportunities Jobs in Tanzania


Job Details:

  • GLOBAL GROUP ni kampuni inayomiliki makampuni mbalimbali yakiwemo ya uchapishaji magazeti - Global Publishers Ltd na runinga ya mtandaoni ya Global TV Online na mitandao yake ya kijamii. .

    Fursa

  • GLOBAL GROUP inatoa fursa ya ajira (Intership) kwa vijana wa Kitanzania waliohitimu masomo ya vyuo wenye dhamira ya dhati ya kufanya kazi za masoko, uuzaji na usambaji wa bidhaa (Sales & Marketing).

    Sifa na Elimu

  • Wanatafutwa vijana wakazi wa jijini Dar es Salaam, wenye elimu ya mauzo na masoko (Sales and Marketing) na ambao watakuwa tayari kujifunza.

  • Kama una sifa zilizoainishwa hapo juu, fika na CV yako katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Sinza Mori, Global Group House, jirani na Haki Ardhi na wasilisha maombi yako.

    How to Apply

    MENEJA MKUU
    GLOBAL GROUP
    DAR

  • Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0715 288 627

  • Mwisho wa kupokea maombi ni JANURI 05, 2021

  • Click here to post comments

    Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to NGO Jobs in Africa.