Busokelo District Council Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II Jobs in Tanzania

Busokelo District Council Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II Jobs in Tanzania


Job Details:

  • Mkurugenzi mtendajiwa Halmashauri ya wilaya ya Busokelo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika halmashauri ya wilaya ya Busokelo kuomba nafasi ifuatayo:
    Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja LA II .

    KAZI NA MAJUKUMU:

    • Kutafuta kumbukumbu lnyarakalmafaili yanayohitajika na wasomaji.

    • Kudhibiti upokeaji uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka kuchambua,

    • kuorodhesha na kupanga kumbukumbu /nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (c/assffication and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.

    • Kuweka/kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika reki (file racks/c*inefs) katika masjala/nyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.

    • Kuweka kumbukumbu (barua/ nyaraka nk) katika mafaili.

    • Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka taasisi za serikari.

    SIFA:

  • Awe na elimu ya kidato lV au Vl na mwenye cheti cha cha utunzaji kumbukumbu.

    How to Apply

    MASHARTI YA JUMLA

    • Mwombaji awe raia wa Tanzania ambaye ana umri si zaidiya miaka 45

    • Barua ya maombi iambatane na wasifu binafsiwa mwombajiwa hivi karibuni (curriculum vitae).

    • Barua ya maombi iambatanishwe na nakala ya vivulivya vyeti vya kidato cha lV,Vt,cheti cha kuzaliwa na vyetivingine vya taaluma.

    • Picha mbili ndogo (passporf size) za hivi karibuni.

    • Matokeo ya muda (provision/testimonials/statement of results) havitapokelewa.

    • waombajiwenye vyeti vya kidato cha nne na sita waliosoma nje ya nchi wanatakiwa kuwasilisha uthibitisho wa NECTA.

    • Waombaji wenye vyeti vyeti vya Astashahada/ cheti vya nje ya nchi wanatakiwa kuambatanisha uthibitisho wa NACTE.

    • Barua ya maombi iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza.

    • Mwisho wa kupokea maombi ni O9t12t2O2O.

  • Barua zote zitumwe kwa

    Mkurugenzi mtendaji
    Halmashauri ya wilaya ya Busokelo,
    S.L.P 2,
    TUKUYU.

  • Click here to post comments

    Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to NGO Jobs in Africa.