KCSE Past Papers Kiswahili 2014 

Click Here - Free KCSE Past Papers » KNEC Past Exams » Free Downloads » KCSE Papers & Marking Schemes

102/1 KISWAHILI Karatasi ya 1 INSHA Okt./Nov. 2014 Muda: Saa 1% -\.»';‘)-~:'"_0 /):-1""L&<1L'- , y Q 5 ' " ‘ ‘>*‘~r \ ‘ 22~§‘::»:~§>’» I THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL Kenya Certificate of Secondary Education KISWAI-HLI Karatasi ya 1 INSHA Muda: Saa 1% Maagizo (Q) (b) (C) (d) (8) (fl (3) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya Iazima. Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizabakia. Kila insha isipungue maneno 400. Kila insha ina alama 20. Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili. Karatasi hii ina kurasa 2 zilizvpigwa chapa. Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo. © 2014 YWflW1§d3N6MfiBFE€D unciI 914018 1401080 Geuza ukurasa 1 Lazima Andika hotuba ufialcayowatolea wazazi, walimu na wanafunzi kuhusu ulmuhimu vga gshauri/flagahzg katika shulc za sekqndari. 2 Andika insha kuhusu jinsi raia wanavyoendeleza matumizi mabaya ya ardhi nchini. / 3 Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Achanikaye kwenye mpini hafi njaa. 4 Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayoz _ Mara tu nilipokivuka kizingiti cha lango la nyumba yangu, nilijua kwamba maisha yangu yalikuwa yanachukua mkondo mpya - 1'¢lS 1 v, '-‘ ‘Iv Kenya Cemficate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 1 914018 1401000 €.f|§~ Jina .................................................................................. .. Nambari ya Mtahiniwa .................. ../ ...... .. 102/2 Sahihi ya Mtahiniwa ............................... .. KISWAHILI Karatasi ya 2 LUGHA Okt./Nov. 2014 Muda: Saa 2 5 Ml UM ,. M J/\‘\':. _.~,7' A “'5 <1’ '* g =/ > ' 1\\~'__' T1,!‘ ' ’-1‘ "1 ‘,1-;.!‘hf‘ ‘ I 1.] ll‘! . afim; -~¢-:39 THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL Kenya Certificate of Secondary Education KISWAHILI Karatasi ya 2 LUGHA Muda: Saa 2% Tarehe ........................................................ .. Maagizo '(a) Amiika jina lako na nambari yako ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapojuu. (b) Tia sahihi yako kisha uandike tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. (c) Jibu muswali yote. (d) Majibu yote yaandikwe katika nafasi ulizoachiwa katika kijitabu hiki cha maswali. (e) Majibu yore lazima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili. (f) Usitoe ukurasa wowote kutoka kwenye kifitabu hiki. (g) Karatasi hii ina kurasa I 2 zilizopigwa chapa. (h) Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo. Kwa matumizi ya mtahini pekee Swali Upeo Alama 1 15 2 ‘ 15 3 ' 40 4 10 Jumla 80 @ 2°” Eéaéism!‘L%%':$'n€;r%¢:';alm?:O€q"""@*' 914019 1401090 Geuza ukurasa EA Lg?‘ 1 2 UFAHAMU: (Alama I5) Soma kifungu klfil0l‘GCh0 kisha ujibu maswali. Afisa wa ukaguzi wa abiria na mizigo alimrudishia cheti chake cha usafiri na kubofya tarakilishi yake kuashiria kuanza kumhudumia mteja mwinginc. Duma alikichukua cheti chake cha usafiri kwa pupa, kana kwamba anamtaxajia rntu kuja kukibwakura. Moyo wake ulitweta na kukisukuma kidari chake kikembe nusura kukipasua. Baada ya kukihifadhi cheti hiki ndani ya mfuko Wake mdogo Wa kusafiria, alichapuka moja kwa moja hadi chumbani ambamo wasafiri hungojca kuiva kwa safari. _ Si kwamba Duma ni mwanagenzi wa safari za Ughaibuni. La! Hasha. Amekia vilele vya anga kwa muda Wa miaka isiyopungua kumi sasa, tangu alipochukuliwa kijijini mwao akiwa na umri wa miaka kumi na miwili; mjomba wake anakuja kumtafutia kazi. Kazi aliyopata ilimtia tumbo joto mwanzoni, akataka kutoroka, atokomcc kokote kule. Fikiria wewe, ndio sasa umetoka kwenye mbeleko ya mama yako, ubwabwa Wa shingo ndio unaanza kukutoka, kisha uje kutoswa kwenye kazi ya kuvuna majani kwenye shamba kubwa la Bwana Mali, majani ambayo unapopata fursa ya kuyatafuna yanakufanya kujihisi kama tiara inayoelea angani! Kisha baadaye upagazwe kazi ya kuyauza majani hayo hayo, pamoja na unga unaohifadhiwa katika vifuko vidogo vya kuvutia, kwenye soko la siri na hata shuleni! Hata hivyo walisema wasemao kwamba papo kwa papo kamba hukata jiwe, na kinolewacho hupata. Duma alipata walimu, akafunzwa jinsi ya kuyatumia majani na aina mbalimbali za unga ili kuituliza nadhari na dhamiri yake ambayo awali ikimsumbua sana. Polepole ule utu na ulirnbukeni aliokuwa nao uliyeyuka, akatwaa moyo wa jiwe na kuikurnbatia kazi hii kwa dhati ya Inoyo wake, moyoni akijiambia kuwa hayo ndiyo majaliwa yake. “Ikiwa huu si utashi wa Mungu, kwa nini akalituma gonjwa kuja kuwaua wazazi wangu, mmoja baada ya mwingine? Kwa nini akawaacha akina ami kunipoka kidogo kilichobakizwa na matibabu ya Wazazi Wangu? Kwa nini asimtume mtu kuja kuniokoa nilipoingizwa kwenye biashara hii na mjomba Papa?” Duma alijiuliza maswali haya mfululizo. Hatimaye aliihalalisha kazi yake kwa kusema, “Kazi mbi si mchezo mwema.” Duma alipopata tajiriba ya kutosha kupambana na walinda usalama wenye macho ya kipanga, mwajiri wake hakusita kumturnia kwenye safari za kusafirisha shehena kwenye masoko ya ng’ambo. Mara nyingi aliponea tundu la sindano kutiwa mbaroni. Wakati mwingine mashine Za ukaguzi ziliwcza kunusa shehena yake, akalazimjka kulainisha viganja vya maafisa wakuu wa forodha. Kila mara alijiambia, “l-[ii kazi ni hatari, nikipata pesa za kutosha kuufukuza uhawinde nitang’atuka.” Hata hivyo, Duma tayaii alikwisha kuwa sikio la kufa. Alikuwa arnedidimia katika ulanguzi wa dawa za kulevya, ulanghzi ambao ulikuwa umemwingia kwenye mishipa jinsi dawa zenyewe zilivyokuwa zimegeuka damu inayousukuma moyo wake. Badala ya kuacha, ycye na mwajiri wake walizua mikakati mipya ya kusafirisiha shehena. Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 Powerelluallafifianyamfranchisecom 914019 1401090 . J >=\ ~ > 3 Safari ya leo ilipoiva, Duma alifanya kama alivyoagizwa na mwajiri Wake. Asubuhi na mapema alibugia shehena yake, koo ikakubali kuisafirisha hadi tumboni ambapo uchango wake uliombwa kuihifadhi hadi utakapofika Wakati wa kuitapika shehena hiyo Ughaibuni. Fungu lililobaki lililiwa ndani ya begi la kusafifla, katikali ya nguo. Duma alitarajia kwamba atampata jamaa wake wa kawaida kwenye forodha. Akajiambia kwamba hata asipompata huyo jamaa anaweza kuitoa shehena hiyo hiyo kama kafara kwa maafisa wa usalama. Duma alikuwa na bahati ya mtende kumpata huyo jamaa Wake, pamoja na afisa wa usalama aliyejuana naye kwa vilemba, akafanikiwa kupitisha shehena zake bila kujua kwamba yake ya arubaini imefikal Mara tu Duma alipotua kwenye uwanja wa ndege wa Kainata, Polisi Wa Kimataifa Walimzingira. Mimwcko ya kamera za Wanahabari ilitishia kuyapofua macho ya mtumwa huyu ambaye alikuwa shzmi auawe kwa kukubali kutumwa. Vikuku viwili vikubwa vilivirembesha viwiko vya mikono yake ambayo aliikabidhi kwa rnaafisa hawa kama anayekubali kuwajibikia kosa lake. Nchini mwake mwajiri Wake alipiga kidoko alipotazama kadhia hii kwenye runinga. Akasema, “Bloody coward! How could he allow himself to be caught? ” (21) Huku ukitoa mifano mitano, onyesha jinsi haki za kibinadamu zilivyokiukwa katika kifungu hiki. (alama 5) (b) Andika vyanzo vinne vya maovu ya kijamii kwa mujibu wa taarifa. (alama 4) Kenya Cernficate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi a 2 _ Geuza ukurasa $4 4 (c) “Yaliyompata Duma ni mwiba wa kujichoma.” Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano minne. (alama 4) (d) Eleza rnaana za msamiati ufuataokulingana na kifungu: (alama 2) (i) wenye macho ya kipanga (ii) zirnegeuka damu inayousukuma moyo wake Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 P0wereolBqQ\Hr4nanyamfranchisecom 914019 1401090 &>\ » -n- UFUPISHO: (Alama 15) Soma kzfimgu kl:fittlldCh0 kisha ujibu maswali. Suala la jamii kujitosheleza kwa mahitaji ya chakula na lishe ni jambo ambalo halina budi kushughulikiwa kwa dhati. Chakula ni mojawapo ya mahitaji ya kimsingi ya binadamu na kila mja ana haki ya kupata chakula, na si chakula tu, bali chakula chenye virutubisho muhimu. Nchi isiyowakimu raia Wake kwa chakula ni sawa na ng’ombe aliyeshindwa kunmyonyesha ndama wake. Kwa muda mrefu, viongozi wamekuwa wakipambana na tatizd la ukosefu wa chakula. Msimu wa kiangazi unapobisha hodi, watu wengi, hasa Wale wahitaji, hupukutika kutokana na mng’ato wa njaa. J apo serikali na Wafadhili huturna vyakula vya msaada kwa jamii zilizoathirika zaidi, chakula hiki huwa kama nguo ya kuazima, na bila shaka ya kuazima haikidhi haja. Mojawapo ya vyanzo vikuu vya uhaba wa chakula ni kiwango cha chini cha uzalishaji na uhifadhi wa chakula chenyewe. Zipo sehemu nyingi nchini ambazo ni kame. Sehemu hizi hukabiliwa na ukosefu Wa maji kwani, ama mvua hainyeshi, au inaponyesha haitoshelezi mahitaji ya mimea. Mimea mingi hujikaukia ikiwa rnichanga na kudhihaki juhudi za wapanzi. Zipo sehemu katika nchi hii ambazo huenda kwa misimu hata zaidi ya mitano bila kupata zao lolote kutoka mashambani. Hali ikiwa hivi makali ya uhitaji huzidi na wakazi wa sehemu hizi hulazimika kuwa wategemezi kwa majirani na serikali. Wengine wanapokosa chakula kabisa huazimia kula visivyoliwa. Wanaamwa la mbwa baada ya kukosa la mama. Hali kadhalika, japo zipo sehemu nyingine ambazo hazina tatizo la ukame, mbinu hasi za kilimo husababisha utoaji wa mavuno haba, hivyo kutojitosheleza kwa chakula. Bila shaka wanapopanda ovyo, wanavuna ovyo. Kuna wakulima ambao hupalilia mmomonyoko Wa udongo kwa kulima kandokando ya mito, kupanda zao lile lile katika sehemu ile ile ya ardhi miaka nenda miaka rudi, na kutopanda mimea ambayo hukinga tabaka la juu la udongo dhidi ya kumornonyolewa na maji au upepo. Matokeo ya haya yanaweza kutabiriwa; udongo wcnye rutuba huoshwa na mashamba kutwaa utasa ambao huzidisha kuzalishwa kwa chakula haba. Wakulima wengine hukaidi wito wa kupanda mimea ambayo hustahimili ukame kama vile mibaazi, mihogo, Intama, ulezi na wimbi. Baadhi ya wafugaji hufuga mifugo Wengi ambao hushindwa kustahimili kiangazi. Si ajabu kupata kwamba katika baadhi ya maeneo, rnizoga ya ng’0mbe na hata ngamia imezagaa kote, tanuri la kiangazi linapofanya kazi yake. Sehemu nyingine zimebarikiwa kwa ukwasi wa chakula. Hata hivyo, baadhi ya wakazi Wa sehemu hizi hawana mwao kuhusu umuhimu wa lishe bora. Wapo Wanaodhani kuwa chakula ni chakula, bora tumbo lipate haki. Hawa hula vyakula kama vile viazi, mahindi, na Wengine nyama bila kujua wanahitaji vyakula vyenye virutubisho muhimu, yaani, Wanga, protini, vitamini na madini. Wapo wanaodhani kuwa protini pekee ni nyama. Hawa hula nyama mawio na machweo, matokeo yakiwa kuambulia magonjwa kama vile shinikizo la damu. Kenya Certtficate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 LUGHA >-J 6 Katika kukabiliana na tatizo la uhaba wa chakula, serikali, kupitia wizara husika, imeanzisha miradi ya kuhakildsha kuwa kuna uzalishaji wa chakula kwa kiwango cha kuridhisha. Visirna vya maji na mabwawa yamechimbwa katika sehcmu kame ili kunyunyizia mashamba maji. Baadhi ya wakulima wameanza kupanda mimea ambayo inapevuka na kutoa mazao haraka. Ipo mimea ya kualika ambayo huloa matunda baada ya muda rnfupi, hivyo kusaidia kupunguza makali ya nj aa. Wafugaji wengine wameanzisha miradi ya kufuga kuku wa kututumuliwa. Hawa hukua na kukomaa kwa muda rnfupi na huweza kutoa nyama na mayai. Wafugaji wa kuku hawa huweza kuwauza kununua aina nyingine ya vyakula. Wakulima pia wanahimizwa kutumia njia za kisasa za kuzalisha na kuhifadhi chakula. Chakula kinapohifadhiwa vyema, hata mvua isiponyesha, raia huweza kujitcgcmea. lkiwa maghala ya halmashauri za kuhifadhi chakula nchini hayahifadhi chakula, mara nyingi nchi hulazimika kuagiza chakula kutoka nje kiangazi kinapojiri. Aidha, chakula kisipohifadhiwa vyema huishia kuharibika na kuhasiri wanaokila, ikawa msiba juu ya mwingine. Ni muhimu kufahamu kuwa jukumu la kupambana na ukosefu wa chakula ni la lcila raia. Hali ya kungojea kila mara kulishwa na seflkali inatufanya kuwa wategemezi zaidi. Wakulima wadogowadogo ambao huuza vyakula vyao kwa bei ya chini sana mama tu wanapovitoa mashambani Wanapaswa kujiasa dhidi ya mazoea haya na kujua kuwa akiba haiozi. Wanaoishi katika sehemu zenye vinamasi wasaidiwe kuzitunza schcrnu hizi na kuzitumia kwa njia endelevu. Vijana wahimizwe wawaunge wazee rnkono kushughulikia kilimo katika sehcmu za mashambani badala ya kuhamia Inijini kutafuta kazi za ajira ambazo ni haba. Wanaoishi mijini nao wajifunge nira kutumia nafasi Walizo nazo kuendeleza kilimo cha bustani. Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 GHA 7 (a) Fupisha ujumbe wa aya tano za kwanza kwa maneno 100. (alama 9, 1 ya Intiririko) Matayarisho Nakala safi Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 Geuza ukurasa 8 (b) Kwa kurejelea aya tatu za mwisho, eleza njia sita za kukabiliana na uhaba Wa chakula. (maneno 85) Matayarisho ............................... n ...................................................................................................................................................... .. Nakala safi ........................................................... .-....,-..............................‘................ Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Poweregfinmmmanyamfranchisecom Karatasz ya 2 LUGHA 914019 1401090 (alama 6, 1 ya mtiririko) Q . \ r P l 3 9 MATUMIZI YA LUGHA: (Alama 40) (P1) (b) (i) Eleza maana ya silabi. (alama 2) (ii) Andika neno lenye muundo ufuatao: (alama 1) irabu + konsonanti + konsonanti + irabu Ainisha vitenzi katika sentensi: (alama 3) Ndege yg taabani, hata hivyo anajgbg . (C) Geuza sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. (alama 2) Wachczaji hawakucheza mpira kwa sababu ya Invha. V Anza kwa: Mpira ‘ (I1) (6) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu. Debi huwapigia watu nguo pasi. (alama 2) Andika sentensi ifuatayo upya ukizingatia kinyumc cha mancno yaliyopigiwa mstari. (alama 2) Ubora wa kazi zao ulifichika baada ya @ kwa mradi ulc. 914019 (Q (i) Eleza maana ya kirai. (alama 2) (ii) Ainisha virai vilivyopigiwa mstari. (alama 1) Zana hizi zimeundwa na mggggi . Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 Geuza ukurasa 10 (g) Kinga ni hali ya kuzuia Inadhara fulani. Andika maana nyingine mbili za ‘kinga’. (alama 2) (h) Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha Inatawi. (alarna 2) Lililimwa vizuri sana. (i) Bainisha maana mbili zinazojitokeza katika scntcnsi ifuatayo: (alama 2) Wakimbizi walisema kuwa walitarnani kurudi kwao mwaka huo. (j) Eleza sifa mbili za sauti ifuatayoz dh. (alama 2) (k) Andika sentensi ifuatayo katika umoja. (alama 2) Hao Wenyewe hawakuzingatia mafunzo ya lishe hora. (1) Tunga sentensi moja‘ kubainisha tofauti ya kimaana kati ya gharama na karama. ' (alama 2) Kenya Cemficate of Secondary Education, 2014 Kiswahili P0\/K|gp|flag¢U\yalgnyamfranchise.com LUGHA 914019 1401090 1 \ 1 9 (I11) 11 Kanusha sentensi ifuatayoz Wanafunzi waliingia darasani, wakatoa vitabu wakaanza kusoma. (alama 2) (I1) (0) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya nukta pacha. (alama 2) Tumia nomino ya jamii kuwakilisha maneno yaliyopigiwa mstari. Nzige wengi sana walivamia na kuhan'bu rnimea. (alama 1) (P) (q) (r) (S) Onyesha visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari. Washiriki wote walituzwa medali baada ya mchgg ng huo. (alama 2) Nomino zifuatazo zimo katika ngeli gani? (i) Furaha (ii) Nyasi Unganisha scntensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume. Wananchi walikabfliwa na hatari. Wanzmchi waliendelea kuwaokoa majeruhi. (alama 1) (alama 1) (alama 2) Andika upya scntensi ifuatayo ukianzia kwa yambwa tendwa. Wafugaji Waliwakatia ng’ombe wote majani ya mti huo. (alama 2) Kenya Certlficate of Secondary Education, 2014 Kiswaflili Geuza ukurasa 12 4 ISHVIUJAMII: (Alama 10) (a) Umepewa jukumu la kuwazungumzia vij ana wenzako kuhusu umuhimu wa uwekezaji. Fafanua sifa tano za lugha utakayotumia. (alama 5) (b) Eleza sifa tano za sajili ya kidini. (alama 5) HUU NDIO UKURASA WA MWISHO ULIOPIGWA CHAPA. Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 2 Powerldlggklfa.manyamfranchisecom 914019 1401090 1 1 102/3 KISWAHILI Karatasi ya 3 FASIHI Okt./Nov. 2014 Muda: Saa 2% ,-,Z~~$» 0 -.~; ~,, ,v 1 \ ' < \ ' Q ‘ Xxx»-Q?‘v'§< :':// THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL Kenya Certificate of Secondary Education KISWAHTLI Karatasi ya 3 FASII-ll Muda: Saa 2 Q Maagizo (H) (b) (L) (d) (6) (I9 (3) 914020 Jibu maswali manne pekee. Swali la kwanza ni la lazima. Maswali hayo mengine matatu yachaguliwe kutoka sehemu nne zilizobaki; yaani: Tamthilia, Hadithi Fupi, Uwhairi nu Fasihi Simulizi. Uszjibu maswali mawili kutoka sehemu maja. Majibu yote luzima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili‘ Karatasi hii ina kurasa 6 zilizopigwa chapa. Watahinhva ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamn. © 2014 fi,%WR2P»%v%YN%¥¥n'2?'k’>?5“J{?r?5}?5%@°2’°?m/mil 1402000 Geuza ukurasa 2 SEHEMU A: RIWAYA 1 Lazima K. Waliboraz Kidagaa Kimemwozea “Labda ni suala la mzigo wa mwenzio kanda la usufi.” “....Sijui ‘mwenyewe’ aliyetajwa ni nani. Lakini sharti awe mtu ambaye kwake msiba kwa wengine kwake arusi.” (a) Fafanua muktadha wa dondoo hili. (alama 4) (b) Bainisha‘ tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili. (alama 2) (c) Jadili jinsi ambavyo hali ya, ‘msiba kwa wengine kwake arusi’, inavyojitokeza katika Kidagaa K imemwozea, ‘ (alama 14) SEHEMU B: TAMTHILIA T. Arege: Mstahiki Meya l Jibu swali la 2 au la 3. 2 “Waache wagome, Watajiponza Wenyewe.” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama. 4) (b) Dondoo hili linadokeza mojawapo ya mbinu hasi za ula_wala. Iandike. ' ‘ (alama 2) (c) F afanua mbinu nyingine saba hasi_za utawala zilizotumiwa katika tamthilia hii. ; . a “ “ . (alama 14) 3 “Ngoja ngoja huumiza matumbo.” Thibitisha kauli hii kwa kurejeléa tamthilia ya Mstahiki 1\/leya. _ (alama 20) Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 3 ~ Fasihi LE - SEHEMU C: HADITHI FUPI K. Walibora na S. A. Mohamed: Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine Jibu swali la 4 au la 5. P § “Maskini, Babu Yangu!” (K. Walibora) 1 4 ,1 —w- Y--‘gun-w\_.~ (a) “Salalaa! Mbona wasirudi kwao waishi maisha ya maana kidogo.” (i) Elem muktadha wa dondoo hili. (alama 4) Y" W (ii) Fafimua umuhimu wa mzungumzaji katika hadithi hii. (alama 8) (b) “Shangazi wakumbuke watoto. Waonee huruma!” 1' (i) Andika tamathali ya usemi inayojitokeza katika ka 1' h" k ‘ u 1 11 Wa kurejelea hadithi: * “Sarnaki wa Nchi za Joto”. ~ (alama 2) l Bainisha ma hii . (11) tumizi mengine matatu ya tamathali hii ya usemi katika hadithi . (alama 6) i 1 E “Maeko” (Mohamed Khelef Ghassany) rt" u U! “Hutaki kuwaeleza, kuwa meridhika, 00 ‘ridhikaif’ < $ Eleza kinylime kinachojitokeza katika maneno yaliyopigiwa mstari kwa kurejelea hadithi hii. _ . _ (alama 20) 1 ,1~ P F ’ Kenya Certzgfale of Secondary Education, 2014 f' is_wahili Karatasi ya 3 Y ‘ Fasihi (H4020 1402000 Geuza ukurasa 4 , 1 SEHEMU D USHAIRI Jibu swali la 6 au la 7. 6 Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali. Amiri A.S. Andanenga: Sauti ya Kiza 1‘ N gakua na mato, ya kuonea Ngalisana kito, cha kuchezca Kilicho kizito, cha kuelea Kikamuenea, akivae. 2 Makusudi yangu, ngaliandaa Ngafinyanga chungu, cha mduwaa Ngatia vimngu, vinavong’aa , Ili ziwe taa, kwa apikae. 3 Mkungu wa tano, wa mduwara U10 hora mno, kisha imara U10 na maono, kuwa ni dira Kwenye barabara, itindiae. 4 Ngaomba baraka, kwake Rabana Punje za nafaka, kila aipa Chunguni kuweka, kwa kulingana Hajaangu suna, yule alae. ¢ 5 Ngafanya bidii, kwenda mwituni Sio kutalii kukata kuni Ya miti mitii, huko jikoni Isio na kani, ni iwakae. Kwa yangu rnabega, nikathubutu Ngabeba mafiga, yalo matatu Bila hata Woga, kwenye misitu Simba tembo chatu, sinitiéhie. Miti yenye pindi, na jema umbo Ngajenga ulindi, rnwerna wimbombo Fundi aso fundi, penye kiwambo _M0y0 wenye tambo, agekechae. Singaajiri, ngachimba mimi Kisima kizuri, cha chcmchemi Maji ya fahari, ya uzizimi Jua la ukami, siyaishae. Tamati nafunga, kwa kuishia Mato ndo m§lcnga, kanikimbia Nahofu kutunga, mabeti mia Asije chukia, ayas0mae.- I (a) Eleza ujumbe Wa shairi hili. \ (alama 2) (b) Kwa kurejelea ubeti wa pili, eleza umuhimu wa aina mbili za uhuru wa kishairi alioutumia mshairi. (c) Andika ubeti wa saba kwa lugha ya nathari. (d) Eleza toni ya shairi hili, (e) Fafanua aina tatu za urudiaji zilizotumiwa katika shairi hili. (f) Bainisha nafsineni katika shairi hili. Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 914020 Kiswahili Karatasi ya 3 (alama 4) (alama 4) (alama 2) (alama 6) (alama 2) 7 Soma shairi Iifilatalo kisha ujibu maswali. T. Arege: Watafuta Riziki , 1. Watafuta fiziki, watokwa jasho vijijini ~:.' "ax ' ' . I I _ Wakulima shakiki, wakuza chai na mibuni ‘ _ - I 1. , Vyakula wahakiki, visipungue vinyuani. 2. Watafina riziki, wahangaikao mijini I 4 ~ ‘ ,» \ , ' / Kutwa kile na hiki; kamawatanga na mipini i ' - Japo hawasikiki, hawakosi kujiarnini. ‘ ‘ /V. (/\ 3. wmmm riziki,wazalend0 Wa nchihii \‘ " ‘ Kaniwc hawajidhiki, tamaa za moyo kutii w H i ' Bali huafiki, kupingfiha na ulaghai. ‘~ ~ \' ' ~ 4. Watafuta riziki, pate ambalo la halalj 1 Ndoto haizimiki, ya kesho kuwa njema hali ' ‘ ' vWiki baada wiki, la haramu jasho hawali. 1;, Fafanua sifa tano za Watu wanaozungumziwa katika shairi hili. (alama 5) (a) " <12), Bainisha umuhimu wa tamathali tatu za usemi zilizotumiwa katika shairi hili. - (alama 6) (c) I Eleza kwa kutoa mifano, mbinu tatu ambazo mshaifi ametumia kutosheleza mahitaji ‘ _ ya kiargdhi. (alama 6) \\ ‘ <_ (d) Ainisha shairi hili kwa kuzingatia vigezo vifuatavyor (alama 3) (i) idadi ya mishororo katika beti (ii) mpangilio wa vina (m) mpangilio wa maneno A ~ 1 Kenya Certificate of Secondary Education, 2014 Kiswahili Karatasi ya 3 Fasihi 914020 p0wJ .manyamfranchisecom . Geuza ukurasa "Q y | j <1 6 SEHEMU E: FASIHI SIMULIZI 8 (a) Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali. 0 V Bglsi Mulungu akamtuma kjnyonga duniani kumpasha binadamu ujumbe ufuatao: 1 ‘.“Maisha yako hayatakuwa na mwisho, hata ukifa utafufuka.” - \ ; ' ~ ~ kifiyonga" akaondoka kama mshenga apelekaye posa. Akatambga polepole, moyoni \ ‘_ X ‘ arnej awa na hofu ya kuiharibu ardhi ya wenyevge. Hata alipowafikia binadamu machweo Q .‘ ( . ' ‘ 0‘ ya siku ya saba bazda ya kupashwa ujumbe, alirnpata mnana keshaubatilisha ujumbe huo; . Y /ameisha kulfiwambia binadamu kuwa akifa vatatokomea kama mizizi ya msubili. Huo ukawa ndio mwanzo Wa mauti. * " (1) Andika aina ya_ hadithi hii. (alama 2) (ii) , Fafanua umuhimu wa aina hii ya hadithi katika jamii. (alama 10) (b) ' Eleza niajukumu manne ya fomyula ya kumalizia katika ngano. (alama 8) , Fm‘ I I‘. N/DH *1 ‘ 1 1 , \» ' ,1 ~ > ' \ ;.\ I . |1 - U \_) ‘ _ 3.1 ‘Y. .,r ' -‘Km ~ 1 I-ILUU ND10 UKURASX WA MWISI-10 ULIOPIGWA CHAPA. 0 < ~ I I V \. ~ 01/1 F asihi 914920 1402000 '
KCSE Results » KCSE Results Top 100 Schools - Kenya Certificate of Secondary Education – KCSE » KCSE Top 100 Candidates » Kenya Certificate of Secondary Education – KCSE » KNEC - Kenya National Examinations Council » Secondary Schools in Kenya » KNEC - Kenya National Examinations Council » Free KNEC KCSE Past Papers

Kenya Scholarships for Undergraduate Students » Kenya Scholarships for Postgraduate Students » Undergraduate Scholarships for Kenyan Students » Kenya Undergraduate Scholarships » Full Undergraduate Scholarships for Kenyans » Kenya Postgraduate Scholarships » Scholarships & Grants » Undergraduate Scholarships » Universities in Kenya » Kenya Universities and Colleges Central Placement Service (KUCCPS) » Colleges in Kenya » KASNEB Registration & Results » Secondary Schools Scholarships in Kenya » Undergraduate & Graduate Scholarships for Kenyans

Scholarships for African Students » Undergraduate Scholarships » African Women Scholarships & Grants » Developing Countries Scholarships » Erasmus Mundus Scholarships for Developing Countries » Fellowship Programs » Funding Grants for NGOs » Government Scholarships » LLM Scholarships » MBA Scholarships » PhD and Masters by Research Scholarships » Public Health Scholarships - MPH Scholarships » Refugees Scholarships » Research Grants » Scholarships and Grants

Scholarships in Australia » Scholarships in Belgium » Scholarships in Canada » Scholarships in Germany » Scholarships in Italy » Scholarships in Japan » Scholarships in Korea » Scholarships in Netherlands » Scholarships in UK » Scholarships in USA

Scholarship 2017/18

Undergraduate Scholarships,
Masters Scholarships,
PhD Scholarships,
International Scholarships.